Cancion : I Miss You Artista : Diamond Platnumz Album : I Miss You Url : https://www.letras10.co/letra-i-miss-you-de-diamond-platnumz [Verso 1] Hello, hapo vipi sijui unanisikia Hello, na maneno natamani kukwambia Hello, tafadhali usije nikatia Hello ooh, ona mpaka nasahau kusalimia Habari gani? Leo nimekukumbuka sana Na mama yaani, twakuwazaga Vipi nyumbani, hali ya mumeo na wana? Na aunty Shani, wa Chimwaga Anha Kile kidonda changu cha roho Bado kinanitia tabu Najitahidi kukaza roho Ila nazidisha adhabu Tena silali oh Nasubiri maajabu Maumivu yangu hayajapata dawa [Coro] Maana I miss you (nakukumbuka iye iye) nakukumbuka baby I miss you (nakukumbuka iye iye) I do miss you (nakukumbuka iye iye) nakukumbuka mama I miss you (nakukumbuka iye iye) [Puente] Ooh na roho yangu mama (bigili bigili) Ah nikikuwaza (bigili bigili) Nikisinzia (Bigili bigili bayoyo) Oh nikilala (bigili bigili) Inama inuka woh (bigili bigili) Nami sina raha (Bigili bigili bayoyo) [Verso 2] Tatizo hata sijui nini kosa langu Mpaka nikawa adui ghafla ukanichukiaga Nawaza ila siambui ama shida zangu uuu.. Simba nikawa chui mi roho inaniumaga Yawezekana ahadi zangu zisizotimia Ndio maana haukutaka kusubiria Nasema nyama mwisho wa siku naleta bamia Chai mchana usiku dona kurumaghia Nilitamani sana ila nguvu yangu pale iliishia Ningalikua na uwezo ningekutimizia Ningali unafuraha haya maumivu ntayavumilia Ila japo nambie ivi unanifikiria maana eh eeh [Coro] Nakumkumbuka iyeh iyeh (nakumkumbuka sana ooh) I miss you (nakukumbuka iye iye) Nakumkumbuka sana ooh I miss you (nakukumbuka iye iye) I miss you (nakukumbuka iye iye) I miss you (nakukumbuka iye iye) [Puente] Ooh na roho yangu mama (bigili bigili) Ah nikikuwaza (bigili bigili) Nikisinzia (Bigili bigili bayoyo) Oh nikilala (bigili bigili) Inama inuka woh (bigili bigili) Nami sina raha (Bigili bigili bayoyo) Hata nikila (bigili bigili) Nikikuwaza (bigili bigili) Nikiiii nana (Bigili bigili bayoyo) Ooh na roho yangu mama (bigili bigili) Ah nikikuwaza (bigili bigili) Nikisinzia (Bigili bigili bayoyo) [Conclusi�n] Tudd Thomas Eeeeeh eeh roho yangu mama (Bigili bigili) Eeeeh hee hee (Bigili bigili) Eeeeh hee hee (Bigili bigili bayoyo) Oooh roho yangu mama (Bigili bigili) Inama inuka woh (bigili bigili) Na Chibu sina raha(Bigili bigili bayoyo) oh Hata Nikila ========================== Letra descargada de Letras10.co ==========================