Cancion : Fimbo Artista : Jux Album : Fimbo Url : https://www.letras10.co/letra-fimbo-de-jux Verse 1: Kwanza kabisa thanks to the lord Uzuri wako sio wakudownload (wakudownload) Unanishangaza kilasiku misichokiii Mwingine kama weee misiktakiii Bridge: (Tulu tulu tulu.........) Wewe ndo fimbo yangu baby Ongeza raha zaidi mamy Nikuweketu kabisa ndani Kwangu wewe ndo burudani Wewe kiboko yangu baby Ongeza utamu zaidi mamy Niwewe tuu tuu baby wewee Chorus: I give you everything X3 {unanivuruga....} Nitafunga moyo sitoki funguo nikukabizi wee [i give u everything] Nitakupa muda wangu na notii , chochote unachotaka wee [ i give u everything] (hayayaaa ayaaa...) Unarangi ya chocolate magnetic romantic Jinsi ulivo humble baby so sex wananivuta zaidii Kurudi nyumbani late misitaki [kurudi nyumbani late misitaki..] Sababu ninawivu moyoni ukiwa mbalii [sababu ninawivu moyoniiii.....] yeee Bridge: (Tulu tulu tulu.........) Wewe ndo fimbo yangu baby Ongeza raha zaidi mamy Nikuweketu kabisa ndani Kwangu wewe ndo burudani Wewe kiboko yangu baby Ongeza utamu zaidi mamy Niwewe tuu tuu baby wewee Chorus: I give you everything X3 {unanivuruga....} Nitafunga moyo sitoki funguo nikukabizi wee [i give u everything] Nitakupa muda wangu na notii , chochote unachotaka wee [ i give u everything] Univuraga vuruga eh.... Yani mikwako sisiki baby Univuraga vuruga eh... Unanichanganya changanya Univuraga vuruga eh ========================== Letra descargada de Letras10.co ==========================