[Verse 1: Delvin]
Nakuomba Nerea, usitoe mimba yangu we,
Mungu akileta mtoto, analeta saa ni yake,
Mlete nitamlea, usitoe mimba yangu we,
Mungu akileta mtoto, analeta saa ni yake,
[Josh]
Huenda akawa Wanyama, acheze soka Uingereza,
Huenda akawa Kenyatta, mwanzilishi wa taifa,
Nakuomba Nerea, usitoe mimba yangu we,
Mungu akileta mtoto, analeta saa ni yake,
Mlete aitamlea, usitoe mimba yangu we,
Mungu akileta mtoto, analeta saa ni yake,
[Chimano]
Huenda akawa Nyerere, aongoze Tanzania,
Huenda akawa Mandela, mkombozi wa taifa,
Nakuomba Nerea, usitoe mimba yangu we,
Mungu akileta mtoto, analeta saa ni yake,
Mlete aitamlea, usitoe mimba yangu we,
Mungu akileta mtoto, analeta saa ni yake,