Cancion : Alele Artista : Mbosso Album : Alele Url : https://www.letras10.co/letra-alele-de-mbosso [Intro] Hhhhmm Oooh Ooooh Oh! Iyooo Lizer Hhhmm [Verse 1] Nyama zetu za ulimi Zikikutana asali Bonyea chini Chagama kama tayari Leo tule nini Mihogo ya Coco kwa kachumbari Si unanjuaga mimi Kitandani huwa hodari Kama umeniroga (Aaaah eeh) Mganga wako fundi mama Ameniweza (Nilichomeza me sijatema) Chumvi kwa kikogwa Wali maini ndizi nyama Umenilegeza (Ukinigusa tuu natetema) [Bridge] Nikishuka kifuani baby Naomba nipate supu Ya nyama laini kama mapupu Yale ya gizani baby Nje tusiyaruhusu Kwa majirani Wambea wakina lufufu [Chorus] Hhhhmm Uuh Aaah Ah Alele lele Inzi wangu kidonda ning'ong'ozoe Alele lele Hhhhmm Uuh Aaah Ah Moyo wangu udongo umong'ong'onyoe Alele lele [Verse 2] Asubuhi niamshe Kabla ya kwenda kazini Jogging Kijasho kitoke Ukihisi nachoka piga firimbi Ooh unikamate Kama nayumba shika ngingingi Wachefukwe mate Maembe mabichi uwape mbilimbi Utamu wangu mimi Waujua wewe Penzi tubane na pini Iwe siri yetu wenyewe Muhindi wa kusini Mwenye mapenzi tele Kibiti hakuna madini Tukawinde tetele [Bridge] Nikishuka kifuani baby Naomba nipate supu Ya nyama laini kama mapupu Yale ya gizani baby Nje tusiyaruhusu Kwa majirani Wambea wakina lufufu [Chorus] Hhhhmm Uuh Aaah Ah Alele lele Inzi wangu kidonda ning'ong'ozoe Alele lele Hhhhmm Uuh Aaah Ah Moyo wangu udongo ung'ong'onyoe Alele lele [Outro] Hhhmm Kesho twende Mbagala kwa mama eh Aaaaah eeh Aaah eh Sio mbali twende hata baade Aaaaah eeh Aaah eh Baby tafadhali fanya ujiandae Aaaaah eeh Aaah eh Kumbuka baibui kimini usivae Aaaaah eeh Aaah eh Upajue nyumbani baby Aaaaah eeh Aaah eh Na wakujue nyumbani baby Aaaaah eeh Aaah eh Aaaaah eeh Aaah eh ========================== Letra descargada de Letras10.co ==========================