Cancion : Acha Waseme Artista : Otile Brown Album : Acha Waseme Url : https://www.letras10.co/letra-acha-waseme-de-otile-brown Kama riziki unatoa, basi ntakosa Ila kama ni mola lazima ntapata Kama riziki unatoa, basi ntakosaIla kama ni mola lazima ntapata Bwana Shetani muongo, muongo we! Mbona umejawa na kinyongo bwana we! Wajua Shetani muongo, muongo we! Mbona umejawa na kinyongo ndugu we! Mbona niambie niambie niambie Wapi nilipokuudhi naomba uniambie Maana sio sawa kama we wanichukia Nia njema nlio nayo kwako ndo mafanikio Yangu Wakati mimi nakuombea mema, waniwazia mbaya Ooh sio sawa Ooh so sawa Ooh dhamira yangu ndo nguzo yangu Ooh dhamira yangu ndo nguzo yangu Acha waseme Acha waseme Acha waonge Acha waonge Acha waseme Acha waseme Acha waonge Acha waonge Wewe unanichukia hadi zaidi unavyojipenda Unafikiri nafikiri unavyofikiria mana nia zako sio njema Chochote nachofanya unanielewa makosa Lolote nachofanya unanihukumu vibaya Wapi nilipokukosea ningependa unieleze Wapi nilipokuudhi ningependa uniambie Maana sio sawa kama wewe wanichukia Nia ooh njema nlio nayo kwako ndio mafanikio yangu Wakati mimi nakuombea mema Waniwazia mabaya Ooh so sawa Ooh so sawa Ooh dhamira yangu, ndo nguzo yangu Ooh dhamira yangu ndo nguzo yangu Ooh wema wangu ndo nguzo yangu Eeeh ooh dhamira yangu ndo nguzo yangu Acha waseme Acha waseme Acha waonge Acha waonge Acha waseme Acha waseme Acha waonge Acha waonge Kama riziki unatoa, basi ntakosa Ila kama ni Mola lazima ntapata Kama riziki unatoa, basi ntakosa Ila kama ni Mola lazima ntapata Wajua Shetani muongo, muongo we! Amejawa na kinyongo bwana we Wajua Shetani muongo, muongo we! Amejawa na kinyongo ndugu we Is your boy Brown baby watanyauka Ihaji made it ========================== Letra descargada de Letras10.co ==========================