Letra Basi de Otile Brown

Letra de Basi

Otile Brown


Basi
Otile Brown
(0 votos)
Nahisi siko sawasawa kunakitu kinakosa
Kumbe leo sijamuona
(I wonder if you feel the same way)
Basi naugua na siumwi, chakula kooni hakipiti na silali
Hata kwa dawa za usingizi (I wonder if you feel the same way)

Na macho yangu yanatamani kukuona, nafsi yangu inakukosa sana
Na moyo wangu najawa hofu na uwoga
Mali yangu wasije wakanipora

Na moyoni nakosa Amani sina, fikra zangu zinakwenda mbali kabisa
Ama jiji lishaa ninyang'anya we wanguIla niwie radhi kama nakuhukumu vibaya elewa yote kisa
Kisa mama

Tunatoka mbali nyuma ukumbuke
Tunatoka mbali chunga usiniumize
Tunatoka mbali nyuma ukumbuke
Tunatoka mbali usiniache nijifie

Maana nakupenda mpaka basi (Ujue x6)
Ujue mama, nakupenda mpaka basi

Penzi langu unanihifadhia, heri ungekuwa sincere
Oh Je unaniwazanga, maana huku nakufikiria
Mi nakupenda kipimo sina, ni bora uwe macho
Usije niletea walosaz

Kukupenda jukumu langu, sheria kuu
Kwenye katiba ya penzi langu
Je uko uliko uko vizuri?
Mbona simu hushiki?
Hivi uko na nani, mnafanya nini?
Wasi wasi ninao

Tunatoka mbali nyuma ukumbuke
Tunatoka mbali chunga usiniumize
Tunatoka mbali nyuma ukumbuke
Tunatoka mbali usiniache nijifie

Maana nakupenda mpaka basi (Ujue x6)
Ujue mama, nakupenda mpaka basi

Waadhi na wasaha ulionipa nazingatiaIla nawe usije jisahau, ukashawishiwa
Na watanashati na washika dau... ukanisahau
Sije nisusa utaniacha na mengi...

Bana nitalia x8 nitalia mama

Tunatoka mbali nyuma ukumbuke
Tunatoka mbali chunga usiniumize
Tunatoka mbali nyuma ukumbuke
Tunatoka mbali usiniache nijifie

Maana nakupenda mpaka basi (Ujue x6)
Ujue mama, nakupenda mpaka basi


Comparte Basi! con tus amigos.


Que tal te parece Basi de Otile Brown?
Pesima
Mala
Regular
Buena
Excelente