Letra Nishike de Christian Bella

Letra de Nishike

Christian Bella


Nishike
Christian Bella
(0 votos)
kapinga wewe kapinga wewe,
umeme si unajua nakupenda,
chakula changu cha kila siku ni ww,
nikila sishibi sikubali kabisa kushare na m2,
kapinga muzuri tukitoka watu wote macho kwake,
nikulinde vipi wasije nipora kapiii...
wenye nyumba mapesa magari wengi macho kwake,
nikufiche wapi oooh baby.

kapinga wangu sura ya babiii anapenda kucheka kununa kwake nooo, akikatika kidgo nadata namuita shelly,
akitingisha body napiga kelele

bela wa bela ee, ...

kuwa na kapinga moyo inahuruma ee,
kila siku ni maneno,
majungu na fitina,
et mm ninae nn sifai kuwa na yy,
kila siku makelele jaman nn na mm wanataka niachane naye watasubiri sana


Comparte Nishike! con tus amigos.


Que tal te parece Nishike de Christian Bella?
Pesima
Mala
Regular
Buena
Excelente